MAKAMU WA RAIS DKT.MOHAMED GHARIB BILAL, AANZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI JAPAN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Biashara, Uchumi na Viwanda wa Japan, Toshimitsu Motegi, wakati alipofika ofisini kwa Waziri huyo kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake nchini Japan, leo Mei 20, 2014
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibadilishana zawadi na Waziri wa Biashara, Uchumi na Viwanda wa Japan, Toshimitsu Motegi, baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa Waziri huyo akiwa katika ziara yake nchini Japan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibadilishana zawadi na Mwenyekiti wa Kampuni ya JETRO, Hiroyuki Ishige, baada ya mazungumzo yao wakati Makamu Dkt Bilal, akiwa katika ziara yake nchini Japan .Picha OMR
No comments:
Post a Comment