Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday, 17 May 2014

RAIS KIKWETE AMUAPISHA LUTENI GENERAL , WYJONES KISAMBA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha  Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam
. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango  Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha  baada ya kumuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango  Ikulu jijini Dar es salaam


: Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, wakiwa na walioapishwa Luteni Generali Wyjones Kisamba na  Mhe Paul Thomas Sangawe  Ikulu jijini

No comments:

Post a Comment