SABODO AZINDUA JENGO LA MAEGESHO YA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa, Mark Mwandosya akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Mzee Mustafa Sabodo wakikata keki kuashiria uzindua jengo la Maegesho ya Magari la SABODO jijini Dar es Salaam
Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa, Mark Mwandosya(kulia) akifunua panzia na Mzee Mustafa Sabodo wakizindua jengo la Maegesho ya Magari la SABODO jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni Alhaj Shiraz Jessa.
No comments:
Post a Comment