Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 22 May 2014

ZOEZI LA KUPULIZIA DAWA ZA KUMUANGAMIZA MBU ANAEAMBUKIZA DENGUA KWENYE MABASI YA MIKOANI LAENDELEA


Mabasi yakiondoka katika kituo cha Ubungo baada ya kupuliziwa dawa ya kuangamiza mbu anayetishia maambukizi ya Ugonjwa wa Dengu ikiwa ni kutekeleza amri ya  Mkuu wa mkoa kwa la kupulizia dawa kwa ajili ya Taadhari ya Ugonjwa wa huo jijini Dar es Salaam

Afisa Afya wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo ,Richard Katiti(kulia) akingia ndani ya basi kupulizia dawa kwa ajili ya kumuangamiza mbuu anayeambukiza ugonjwa wa Dengu ikiwa ni utekerezaji wa  Agizo la Mkuu wa mkoa kwa la kupulizia dawa kwa ajili ya Taadhari ya huo jijini Dar es Salaam

Afisa Afya wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo ,Richard Katiti akisimamia Upigajidawa katika basi ikiwa ni utekerezaji wa  Agizo la Mkuu wa mkoa kwa la kupulizia dawa kwa ajili ya Taadhari ya Ugonjwa wa Dende jijini Dar es Salaam




No comments:

Post a Comment