Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 3 June 2014

KITUO CHA MWENGE SASA KWEUPEEEE

Greda la jiji likibomoa vibanda na na kusafisha 

 Baadhi ya Maduka yakiwa yamefungwa

Hata mabango ya biashara nayo yanabomolewa na kuondolewa

Polisi wakiimarisha ulinzi

Watu wa Bajaji wakichangamkia fursa kwa kupakia abiria kuelekea Ubungo na Makumbusho kwa shilling elfu moja.Picha zoote na Kusini blog

No comments:

Post a Comment