Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 3 June 2014

JERRY SLAA ASIMIKA MAKAMANDA WA VIJANA WA CCM KAWE.

Meya wa Ilala na Mjumbe wa NEC CCM  Jerry Slaa akihutubia wananchi wa Kawe baada ya kuwasimika Makamanda wa Vijana

Meya wa Ilala na Mjumbe wa NEC CCM  Jerry Slaa akisalimiana Mjumbe wa CCM Kawe Halid .

 Katibu wa vijana wa ccm  Kawe Aisha Katundu akihutubia katika mkutano huo.

Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kawe Lilian Mkotani akimwaga CHECHE


Meya wa Ilala na Mjumbe wa NEC CCM  Jerry Slaa akimsimika  Joe Anea Joseph kuwa kamanda wa Vijana wa ccm tawi la Kawe Kilima hewa jijini Dar es Salaam


A-   Kamanda wa Vijana tawi la Kilimahewa  kata ya Kawe ,Joe Anea Joseph akiwa na wapambe wake baada ya kusimikwa rasmi


Msafara wa Slaa kuelekea soko la zamani la kawe kwa ajili ya kusimika Makamanda

 




Mraponi akiwapasha wakazi wa kawe kuhakikisha wanalirudisha jimbo mikononi mwa ccm

 

No comments:

Post a Comment