Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Monday, 9 June 2014

MAMIA WAMZIKA MSANII WA MAIGIZO MZEE SMALL JIJINI DAR ES SALAAM.

Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Small wakielekea Makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam.


Waombolezaji wakiingiza mwili wa Marehemu kaburini


Wakazi wa jiji wakishuhudia maziko hayo  

Baadhi ya Wasanii waliokuwepo   



No comments:

Post a Comment