MASABULI ATEMBELEA SHINA LA CCM PAMBA ROAD, JIJINI DAR ES SALAAM.
Meya wa Jiji
la Dar es Salaam, Didas Masabuli kulia akipokea zawadi ya sha la maua kutoka
kwa Mwenyekiti wa Shina la CCM Kata ya
Pamba Road, Sharik Choughule wakati Meya huyo alipotembea tawi hilo Dar es
Salaam .Pia masabuli aliwataka vijana kuunda umoja wa kusaidiana ikiwemo
kukopeshana ili kujikwamua na ugumu maisha na kuwashauri waanzishe sacoss
ambapo aliwahaidi kuwachangia shilingi milioni tano.
Katibu wa wa Uchumi na Fedha kata ya Kivukoni Abdalla Ally Sembe akimkabidhi lisala Meya wa Jiji
la Dar es Salaam, Didas Masabuli mara baada ya kuisoma kushoto ni Mwenyekiti wa Shina la CCM Kata ya
Pamba Road, Sharik Choughule
Mwenyekiti wa Shina la CCM Kata ya Pamba Road, Sharik Choughule(kulia) akimkaribisha Meya
wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masabuli wakati alipotembelea shina hilo.Kulia ni Katibu wa shina hilo, Sofia Mbile.
Meya
wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masabuli kulia akiagana na Mmoja ya wadau wa Chama cha Mapinduzi wa shina hilo
No comments:
Post a Comment