Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 27 July 2014

BENKI YA DCB YATOA GAWIWO KWA WANAHISA WAKE.

Mkurugenzi wa Benki ya DCB , Edmund Mkwawa akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa Gawiwo kwa wanahisa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Benki ya DCB , Edmund Mkwawa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Merck Sadik (kulia) wakati alipowasili katika hafla hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Merck Sadik ,akimkabidhi hudi ya shilindi ya shilingi milioni miamoja na sitini Meya wa Manispaa ya Ilala ,Jerry Slaa ikiwa ni gawio la faida ya hisa kutoka benki ya DCB .Wa piki kutoka kulia ni Mkurugenzi wa benki hiyo Edmund Mkwawa na Mwenyekiti wa Bodi Balozi Poul Rupia.Picha zote  na Kusinigesi blog 


No comments:

Post a Comment