RAIS JAKAYA KIKWETE, AKUTANA NA MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KWA CHAMA CHA FRELIMO,FILIPE NYUSI
Mgombea Urais wa Msumbiji
kwa tiketi ya chama cha Ukombozi cha FRELIMO Filipe Nyusi akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Ndogo mjini Tanga
Rais
Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakiwa katika picha ya pamoja na mgombea huyo kwa tiketi ya FRELIMO Filipe
Nyusi, Ikulu Ndogo mjini Tanga. Kushoto ni Mwenyeji wa Mgomba huyo, Katibu Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana. Picha na Adam Mzee.
No comments:
Post a Comment