Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 11 July 2014

UDA YAIPIGA JEKI RIADHA

Afisa habari wa Shilika la Usafiri Dar es Salaam UDA,George Maziku, akimkabidhi Hundi ya shiling milion 3 Makamu mwenyekiti wa chama cha Riadha nchini,Wiliam Kalage  kwa ajili ya Mandalizi ya Mashindano ya Riadha ya Taifa jijini Dar es Salam.

Maziku akionna waandishi wa Habari


No comments:

Post a Comment