Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 30 October 2014

BALOZI WA UJERUMANI NCHINI WAZINDUA BARABARA YA HARMBUG JIJINI DAR ES SALAAM

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania ,Egon Kochake akizungumza wakati wa hafla ya kubadisha jina kwa mtaa wa Garden na sasa utakuwa ukijulikana kama mtaa wa Harmbug jina la mji wa Ujerumani ikiwa ni fadhila baada ya wajerumani kuupa jina la Dar es Salaam moja ya mitaa ya jiji la Harmbug uko Ujerumani

Meya wa jiji la Dar es Salaam Didas Masabuli na Meya wa Mji wa Harmbug wakizindua jina la mtaa huo

Meya wa jiji la Dar es Salaam Didas Masabuli na Meya wa Mji wa Harmbug wakizindua jina la mtaa huo kwa kutembea

Mambo ya sanaa nayo hayakuwa mbali

No comments:

Post a Comment