Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Monday, 27 October 2014

JUMUIA YA SHREE JAIN SANGH YASAIDIA BAISKELI WANAFUNZI WENYE ULEMAVU

Wanachama wa Jumuia ya Kidini  shree Jain Sangh  wakikabidhi cheki

Wanachama wa Jumuia ya Kidini  shree Jain Sangh na wanafunzi wa wenye ulemavu wa shule ya jeshi la Uwokovu wakipozi kwa picha baada ya kuwakabidhi msaada wa Baiskeli 10 za walemavu  zenyethamani ya shilingi milioni moja na laki nane jijini Dar es Salaam.

Wanachama wa Jumuia ya Kidini  shree Jain Sangh ya jijini Dar  wakiwasukuma  wanafunzi wenye ulemavu wa shule ya jeshi la Uwokovu baada ya kuwakabidhi msaada wa Baiskeli 10 za walemavu  zenyethamani ya shilingi milioni moja na laki nane jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment