Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Monday, 20 October 2014

CCM ILALA YASAFISHA UWANJA WA MPIRA KATIKA ENEO LA JANGWANI SEHEMU YA MAFURIKO

Vijana wa chama cha Mapinduzi wakishiriki zoezi la sulima katika eneo hilo

Greda likichonga  na kusawazisha uwanja

Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na fedha wa Chama cha Mapinduzi Ilala ,Azimkhan Akber  akiongea na wandishi wa habari wakati wa zoezi hilo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya ccm kwa vijana

Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na fedha wa Chama cha Mapinduzi Ilala ,Azimkhan Akber  akiwa na wafuasi wengine asafisha eneo la Kiwanja cha mpira lililokua limejaa kifusi kutokana na Mafuliko ilikwa nmi ilani ya Chama kuhakikisha vijana wanapata sehemu ya kufanyika michezo .

No comments:

Post a Comment