Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Monday, 20 October 2014

SONGAS YASAIDIA UJENZI WA SHULE YA BENACCO

Meneja wa Gesi wa kampuni ya Songas ,Malcom Taylor (kushoto) akimkabidhi madawati Diwani wa kata ya Wazo ,Jonh Morro kwa niaba ya uongozi wa Shule wakati wa kukabidhi msada wa  Majengo mawili ya madarasa  ya shule ya msingi Benaco pamoja na Uwanja wa Mpira  ikiwa ni madhimisho ya miaka 10 ya kampuni hiyo.

Wanafunzi wa Shule ya Benacco wakipanga madawati baada ya kukabidhiwa nas kampuni ya Songas

Meneja wa Gesi wa kampuni ya Songas ,Malcom Taylor (kulia) akipokea zawadi aliyopewa na uongozi wa shule ikiwa ni shukurani kwa mchango mkubwa wa kuwajengea madarasa kutoka kwa Diwani wa kata ya Wazo ,Jonh Morro

Baadi ya wafanyakazi wa kampuni ya Songas wakishiriki kaziu ya upandaji miti

Meneja wa Gesi wa kampuni ya Songas ,Malcom Taylor (katikati) akiwa na Mawlimu mkuu wa Shule ya Benacco ,Roda Zigula pamoja na Dada Agatha wakishiriki zoezio la upandaji miti katika shule hiyo.


Wafanyakazi wakishiriki zoezi la upakaji rangi katika madarasa mengine ya shule hiyo

Wafanyakazi wakipeana Majukumu katika eneo hilo

Malcom Taylor kushoto na Diwani wakiweka alama za Vidole kama ishara ya kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment