Timu ya mshikamano ikishangilia ushindi baada ya kuwafunga wapinzani wao Amani bao 1-0 wakati wa mchezo wa kuamasisha amani kati ya viongozi wa dini uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimia wachezaji wa Mshikamano kabla ya kumchezo kuwakabidhi kombe wakati wa mchezo wa kuamasisha amani kati ya viongozi wa dini
uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Kikosi cha timu ya Amani kikiwa katika picha ya pamoja na waziri mkuu Mizengo Pinda
No comments:
Post a Comment