Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 3 October 2014

TATIZO LA FOLENI LAPATIWA UFUMBUZI DAR

Picha ya moja ya treni itakayofanya safari za mjini hadi air pot

Wakurugenzi wa Kampuni ya Umoja Shumake, Robert Shumake kulia na Andrew Mclemore   


Waziri wa Uchukuzi, Erisson Mwakyembe (kulia)na Mkurunenzi wa TRL,Kapallo Kisamfu (kushoto) wakionyesha mchoro wa tren ya mwendo kasi itakayotoka katikati ya jiji hadi Uwanja wa Ndege mara baada ya kusaini mkataba a kampuni ya Kimarekani katikati ni wakurugenzi wa kampuni hiyo Robert Shumake na Andrew Mclemore.

No comments:

Post a Comment