Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 20 November 2014

SKUVI 188 MIN SUPER MARKET YAZINDUA HUDUMA YA MAX MALIPO KWA WATEJA

Duka la vyakula na vifaa vya nyumbani la Skuvi Min super Market 188 limezindua huduma ya kulipia na kufanya miamala yote ya kibenki ya benki ya Advance kwa kutumia mashine za Maxmalipo katika duka hilo lililopo maeneo ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi mtendaji wa Skuvi Min super Market 188 Slemani Kasernda akiwajibika katika ofisi yake ikiwemo kuhakiki nini kimepungua na nini kinatakiwa kuongezwa katika duka hilo.

Mkurugenzi mtendaji wa Skuvi Min super Market 188 ,Slemani Kasernda akimwelekeza jambo mfanyakazi wake katika duka hilo

Maulidi Wandiko akihakiki sabuni katika duka hilo ikiwa ni utaratibu wa kila siku wa majukumu ya kazi zake .ikiwemo kuhakiki nini kimepungua na nini kinatakiwa kuongezwa katika duka hilo.

Wafanyakazi wa duka la Skuvi Min super Market 188 wakipanga bidhaa katika sehemu husika
Wakazi wa Maeneo ya Sinza ,Kijitonyama ,Sayansi na Makumbusho mna karibishwa kujionea bidjhaa mpya za majumbani kuna mzigo umeingia kwa ajili ya sikukuu za Krismass na Mwaka mpya  woote mnakaribishwa.

No comments:

Post a Comment