Mbunge wa Segerea ,Makongoro Mahanga akizunguka mitaani kuzindua matawi ya UVCCM wakati wa ziara ya jimboni mwake kuangalia kero mbali mbali za wananchi |
Mbunge wa Segerea ,Makongoro Mahanga akikabidhiwa Risala baada ya kuzindua Tawi la UVCCM Tabata Matumbi wakati wa ziara ya jimboni mwake kuangalia kero mbali mbali za wananchi |
Mbunge wa Segerea ,Makongoro Mahanga akigawa kadi za ccm kwa wanachanma wapya |
Mbunge wa Segerea ,Makongoro Mahanga akizungumza na wakazi wa Tabata wakati wa ziara ya jimboni mwake kuangalia kero mbali mbali za wananchi |
Mambo ya uzinduzi |
Wadau waq Bajaji na Boda boda hawakuwabali katika msafara huo |
No comments:
Post a Comment