MISS UNIVERSE TANZANIA 20014-2015, NALE BONIFACE ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO WENYE MATATIZO YA NGOZI
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akikata keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akiwalisha Keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akigawa madaftari kwa wanafunzi wenye mahitaji wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
No comments:
Post a Comment