Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday, 9 May 2015

BRIGHTER MONDAY YAINGIA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM)


Meneja masoko wa Mtandao wa  Brighter Monday ,Lugendo Halfani akiwaelekeza wanafunzi wa chuo kikuu jinsi ya kutafuta Ajira  kupitia mtandao huo wakati wa kongamano la wanafunzi wa Chuo kikuu  cha Dar es Salaam


Lugendo akimwaga sera


Afisa masoko wa Mtandao wa  Brighter Monday ,Leghtness Mwaipopo akiwaelekeza wanafunzi wa chuo kikuu jinsi ya kutafuta Ajira  kupitia mtandao huo wakati wa kongamano la wanafunzi wa Chuo kikuu  cha Dar es Salaam .


Alexnder akimwaga sera kwa wadada waliomzunguka


Afisa masoko wa Mtandao wa  Brighter Monday ,Said Haji akiwaelekeza wanafunzi wa chuo kikuu jinsi ya kutafuta Ajira  kupitia mtandao huo wakati wa kongamano la wanafunzi wa Chuo kikuu  cha Dar es Salaam

Timu mzima ya  masoko ya  Mtandao wa  Brighter Monday

No comments:

Post a Comment