Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 8 May 2015

MAFURIKO , MAFURIKOO, MAFURIKO DAR VIPANDE VIPANDE

Mkazi wa kijiji cha Mbopo kilichopo Madale Kindondoni Dar es Salaam wakivusha watu kwa ujira wa shilingi 1000/ kufuatia Daraja la mto Mbopo unaotenganisha Madale na Mbopo kuzolewa na maji na kusababisha adha na shida ya usafiri katika kijiji hicho kilichopo nje ya jiji la Dar es Salaam.

-Wakazi wa kijiji cha Mbopo kilichopo Madale Kindondoni Dar es Salaam wakiangalia Daraja hilo.

Mkurugenzi wa Kusinigesiblog akivushwa wakati wa kutafuta matukio.

Kufa kufaana mvua inyeshe jamaa anakamata fursa anavusha watu kwa ujira wa shilingi elufu moja.

No comments:

Post a Comment