Wakazi wa wilaya ya Mjini Magharibi wamekumbwa na mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mjini humo baadhi ya maeneo hayo ni Mpendae kwa Binti Amrani, Tomondo na Mwanakwerekwe, |
Wakazi wa emneo la Tomondo wakitaharuki kwa maji kujaa katika nyumba zao. |
No comments:
Post a Comment