Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 5 May 2015

MGOMO WA MADEREVA UMEISHAA

Mabasi yakianza kutoka stendi ya ubungo baada ya maongezi na viongozi wa serikali kumalizika


Katibu Mkuu wa Chama cha Madereva akjiongea na Madereva katika eneo la Ubungo baada yta kukubaliana kusitisha mgomo


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mboe akitinga katika eneo la Ubungo stendi ya mkoa


No comments:

Post a Comment