Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday, 2 May 2015

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MERCK SADICK AFUNGUA MAONYESHO YA NYUMBA


 
Meneja Mkuu wa kampuni ya Premier Facility Maintenance Service,(kulia) Aly Lalan akimwelezea shuguli mbali mbali zinazofanywa na kampuni hiyo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Merk Sadik wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya Nyumba.
Mkurugenzi Mwenza wa ya kampuni ya Premier Facility Maintenance Service,(kulia) Mariam Merghjee akizungumza akizungumza na wateja waliotembelea banda lao katika maonyesho hayo.
MKuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Merk Sadick akisaini kitabu cha wageni katika banda la Remax.Wengine ni  Wakurugenzi wa kampuni ya Remax,Berat Guvence Aslan(kulia)na Ovunc Aslan kushoto wakati wa maonyesho hayo. 

No comments:

Post a Comment