Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 14 May 2015

MKAPA ATEMBELEA BANDA LA GF TRUCKS & EQUIPMENTS LTD




Breda la aina ya Terex likiwa katika viwanja vya Mlimani Cty wakati  maonyesho ya CRB 2015 Dar es Salaam

Afisa masoko wa kampuni ya GF Truks Salumu akimpa maelekezo Rais Mstaafu wa awamu ya 3 Benjamini Mkapa .

Rais mstaaf Benjamini mkapa akitembelea banda la kampuni ya gf.

Salumu akimwaga sera mbele ya Mzee Mkapa.

WafanyabiasharaBaadhi ya bidhaa zinazopatikana katika kampuni ya GF Trucks & Equipments  Ltd.

No comments:

Post a Comment