Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday, 9 May 2015

WAHANGA WA MAFURIKO WAHIFADHIWA KWA MAJIRANI

Wakazi wa Bonde la Mkwajuni ,Kinondono wakiwa wamehifandhiwa na msamalia mwema kufuatia nyumba zao kukumbwa na mafuriko yaliosababishwa na mvua zinazonyesha Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment