Waziri mkuu mstaafu Edward lowassa Akiwapungia mkono wanachama wa ccm waliofika kumpokea katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam |
Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi, Ramadhani Madabida(kulia) akimkaribisha waziri mkuu mstaafu, Edward lowassa wakati alipofika makaomakuu ya ccm Lumumba kuomba wadhamini Dar es Salaam |
Waziri mkuu mstaafu Edward lowassa Akisalimianana wanachama wa ccm waliomdhamini katika wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam |
Marafiki wa Edward lowassa waendesha Boda boda nao hawakua nyuma katika mapokezi hayo |
No comments:
Post a Comment