| Wajumbe wakimkaribisha katika ukumbi wa mkutano Mzawa mzalendo wa jimbo la Mikumi Jumaa Hamsini |
| Juma Hamsini akimwaga sera kwa wajumbe wa liokuwa walimsikiliza |
| Jumaa Hamsini akibadilishana mawazo na mzee wa Kilombelo baada ya kumwaga sera. |
| Jumaa Hamsini akiagana na wanachama wa Kata ya Ruhembe baada ya kuomba ridhaa ya kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo hilo. |
No comments:
Post a Comment